Anonymous
· leak · Jul 31, 2026 · 06:59
Kampuni iliyopata zabuni ya barabara ni ya shemeji wa afisa wa manunuzi. Anwani moja kwenye usajili wote wawili. Hawajifichi tena.
Log in to join the conversation.
No comments yet. Be the first.