Wambui Onyango
@wambuionyango · story · Aug 10, 2026 · 09:29
Miaka kumi na miwili katika kampuni ile. Walitangaza mabadiliko Ijumaa, walinzi wakanisindikiza nje Jumatatu. Hakuna kiinua mgongo, hakuna maelezo.
Log in to join the conversation.
No comments yet. Be the first.