Anonymous
· leak · Aug 06, 2026 · 08:02
Kuna ushuru unaokusanywa langoni sokoni ambao haupo kwenye sheria yoyote. Shilingi mia mbili kila siku kwa kila mfanyabiashara. Piga hesabu kwa vibanda 1,400.
Log in to join the conversation.
No comments yet. Be the first.