Akinyi Kibet
@akinyikibet · story · Aug 19, 2026 · 18:41
Niliuza gari kulipia matibabu ya mama yangu. Bima ilisema 'haihusiki' baada ya kukubali kwa simu. Hakuna rekodi, hakuna ushahidi.
Log in to join the conversation.
No comments yet. Be the first.